atika hatua za awali za mashindano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions
League) ya msimu wa 2024/2025, Klabu bingwa ya soka kutaka katika
viunga vya jangwani Dar es salaam, Yanga SC imepangiwa kucheza dhidi ya
miamba wa soka kutoka Burundi, Vital’O FC. Timu hii ina historia ya
kuvutia na mafanikio mengi katika soka la Burundi, na hivyo kuwa
mpinzani wa kuvutia kwa Yanga SC.